MSOL AB MUSIC STUDIO OF LEARNING

MSOL AB - MUSIC STUDIO OF LEARNING OF SWEDEN Kuanza | MSOL AB | Huduma | Wasanii | Video na muziki | Film | Mgeni Msanii | Mawasiliano | IN ENGLISH


Habari kutoka kwetu

Kwanini ni Music Studio Of Learning? | 2014-11-17 (23:46)

Music Studio Of Learning Of Sweden AB (MSOL-AB) inaitwa hivyo kwa sababu Studio hii mbali ya kurekodi, kumix na kumaster muziki na filamu, pia inatoa elimu ya;- (1) Masoko ili kupata uelewa wa soko la dunia na namna ya kuuza bidhaa za ...
Read more >>

Karibu MSOL AB

MSOL-AB ina rekodi, mixing, mastering na promoting muziki/filam na kuzisambaza kazi hizo katika vituo vya redio na tv zaidi ya elfu moja ulimwenguni, pia magazeti/majarida mengi duniani na kwenye internet. MSOL-AB inalinda kazi za wasanii duniani dhidi ya uharamia wa kazi zao kwa kutumia code namba maalum. MSOL-AB itatayarisha matamasha kwa wasanii wa Tanzania wakiwa Sweden na pia kuwakutanisha (kufanya collabo) na wasanii mbali mbali wa Sweden na wa kimataifa. Kuitangaza Tanzania na kujenga mahusiano ya karibu zaidi kati ya wananchi wa Tanzania na Sweden kupitia muziki na filamu.

Peters Mhoja/CEO/MSOL-AB

MSOL-AB itafungua darasa la lugha ya kiswahili kwa waswidi na wengine wote watakaopenda kujifunza kiswahili. Wanafunzi wa kiswahili watakuwa wakilipiwa tiketi na MSOL-AB ili kuingia katika maonyesho/matamasha yote ya kisanii ya Tanzania yakiwa hapa Sweden. Wanafunzi wa darasa la kiswahili la MSOL-AB watapata pia fursa ya kuongea ana kwa ana na wasanii wakubwa kutoka Tanzania ambao wamekuwa wakiwaona kupitia video/filam zao katika internet. MSOL-AB Ni "Tochi ya wasanii katika safari yao ndefu kuyafikia mafanikio yao"=The light of artists in their long walk for success. MSOL-AB ni Kazi na Elimu.

MSOL AB - MUSIC STUDIO OF LEARNING OF SWEDEN

Kujiunga na sisi kwenye facebook.

Admin >>